"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

tatizo mabinti mko commercial zaidi, kuacha unataka kuendelea unataka, Lol.

Sio hivyo GP lets say mazoea mabaya!! vyote anavyonipa nina uwezo wa kuvipata from my pay slip. So its just that I have to start a new life. A life with Budgets!!! Somehow tough brother
 
Fidel there is something not good about you!!! do you know it?

Mbona nilisha weka wazi mm sasa basi wewe si ndo mwenye kutoa jamani au unafikiri utakuwa unalazimishwa mama mm nilisha weka sasa basi na nimesha mrudia Mungu....hofu yako ya nn mama njoo upike kwangu achana na huyo anae kuzeesha anakumega ovyo ovyo baadae utakongoroka na kukosa mwelekeo ukajikatia tamaa ya kuolewa it's your chance to stay with me.
 
vyote anavyonipa nina uwezo wa kuvipata from my pay slip. So its just that I have to start a new life. A life with Budgets!!! Somehow tough brother

Hapa sasa mama unanipa faraja ya kuzidi kukuzimikia nilijua utakuwa mzigo kwangu kumbe na wewe unaweza kujitutumua haswaa haya mama tukae chini tupange maisha yetu maana maisha yenyewe ni mafupi,,,,haya
 

1. Hiyo red hiyo: Agrrrrrrrh! Huyo jamaa yako shule yake ikoje? Kichwa chake kiko sawa? Mpaka leo bado anaendekeza mambo ya kizamani? Eti hawezi kwenda against babu yake. Babu yake angemwambia lazima aliwe tigo ingekuwaje? Kalaghabaho!
2.Hiyo blue; You are still young! Naona umri bado unakusumbua, subiri ukue zaidi kama hutajali.
3. Hiyo bold nyeusi: Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake, by then utakuwa na miaka 26/27! Na kina Fidel watakuwa wameshafikia targets zao za kuoa pia. You never knoo!
Otherwise? Hahahaha! LOL!
 
Dah hapa sasa kwangu utakuwa mzigo kabisa mmmh! pesa ya bia utakuwa unapata kama kawa.

Fidel Wewe unasemaga ni mzee wa kujiexpress!! Thats a very bad sin Man!! Out of that I could Have considered you!!
 
:d:d:ddah!
 
Fidel Wewe unasemaga ni mzee wa kujiexpress!! Thats a very bad sin Man!! Out of that I could Have considered you!!

Mamamama p'se come down yaliyo pita si ndwele tugange yajayo haya mambo yalikuwa chini ya carpet now it's over mummy come down p'se dah Eliza angekuwa karibu ningemwambia akupe Valuu mzinga mzima mazungumzo yaendelee...yaani bado hujanielewa mama?
 
dah!
mpwaaaz for the ushauriiz!😀
 

1. Kwenye red mtu akiku care kifedha tu unaiita care??
2. Hakuna kitu kama laana mbona wazazi wetu hawakutuachia laana tuwe matajiri???
3. Vivian my dear sister unaonekana wewe u love for mercy...it is dangerous.
4. Huyo mchumba ako yeye ni kabila gani?? mbona kwao wanaonekana ni wakabila??
 

Thats my lovely Brother Kris!! kaka fidel hafai, he comes from Gomora. you know what I mean?
 
DAH!
jamani jamani!😀

Yeah yaani mm napata uchungu wewe hapo February watu tunaruka ruka kwa shangwe alafu mm mbado hakijaeleweka sijui Vivian haoni wivu hapo!!! jamani Vivian kwa nn haswa wafwanza hivyo?
 
.....................!
at this time of chrismass mpwaaz will be saving water by.............................!
 
Thats my lovely Brother Kris!! kaka fidel hafai, he comes from Gomora. you know what I mean?

Muulize Xpin tabia zangu akiwa kama kaka ako mnatoka the same jungle wewe mwenyewe hujui atakwambia hebu mPM.
 
yeah yaani mm napata uchungu wewe hapo february watu tunaruka ruka kwa shangwe alafu mm mbado hakijaeleweka sijui vivian haoni wivu hapo!!! Jamani vivian kwa nn haswa wafwanza hivyo?
senksi!
 
Lakini kwani Vivian moyoni mwako unaye tayari wa kufanya replacement?
 
Muulize Xpin tabia zangu akiwa kama kaka ako mnatoka the same jungle wewe mwenyewe hujui atakwambia hebu mPM.
.......hehehehe!
endelea kukomaa mpwa,ninaziona dalili za ushindi
 


Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down

DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.
 
Muulize Xpin tabia zangu akiwa kama kaka ako mnatoka the same jungle wewe mwenyewe hujui atakwambia hebu mPM.

no no no no!!!! I say no to you Fidel. Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha!! never Fidel no! Hapana. hapana. please fidel no!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…