Dear vivilian,am in a relationship with adude for 4-5 yrs now,what I real remember nimepata kutoka kwake is a perfume tena inaitwa women story,am working and he is working,I pay my rent,dstv,fuel and service my car,kila siku sikosi kupeleka mizawadi kwao,SIJAWAHI KUMTEGEMEA KWA CHOCHOTE KILE,ata wen am broke siwezi kumwomba hela,coz naamini kama mm nahishiwa yeye ni binadamu pia lazima anaishiwa kama mm,na majukum ya familia kila mtu anayo,navyoelewa mimi mwanamke unatakiwa ujitegemee maana ww ndie mlinzi haswa wa familia,jitahidi kujitegemea ndugu yangu si unajua mtegemea cha ndugu Hufa maskini,jitahidi kujitegemea je anakuoa leo kesho anakufa nani atakulipia dstv na mafuta ya gari?be indipendent dear,nakupenda sana,mapwnzi yanatoka moyoni si kutokana na vitu vya dunia.