Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
- Thread starter
- #21
Hi guys thanks 4 ur help. Nimefanikiwa kutumia browser ya blackberry kwa kutumia line ya zain. Hiyo line ina settings zote za mtandao sababu huwa naitumia kwenye gsm modem ya zain. Nilipoiweka tu kwenye simu ikaload settings zote za zain. Kwa hiyo nime manage kutumia bila ya data plan. Kama kuna mtu anataka kutumia blackberry bila data plan ujanja ni tumbukiza kiyo kadi yako kwenye gsm modem ya zain au ya voda kutegemeana na mtandao uliopo. Halafu tumia hiyo kadi kwenye mtandao kusurf. Kisha itoe then ihamishie kwenye simu yako.service book utakuta ipo configured tayari.kwa anyehitaji service book ya zain naweza nikaibackup halafu nikamtumia