Help with a blackberry

Help with a blackberry

Hi guys thanks 4 ur help. Nimefanikiwa kutumia browser ya blackberry kwa kutumia line ya zain. Hiyo line ina settings zote za mtandao sababu huwa naitumia kwenye gsm modem ya zain. Nilipoiweka tu kwenye simu ikaload settings zote za zain. Kwa hiyo nime manage kutumia bila ya data plan. Kama kuna mtu anataka kutumia blackberry bila data plan ujanja ni tumbukiza kiyo kadi yako kwenye gsm modem ya zain au ya voda kutegemeana na mtandao uliopo. Halafu tumia hiyo kadi kwenye mtandao kusurf. Kisha itoe then ihamishie kwenye simu yako.service book utakuta ipo configured tayari.kwa anyehitaji service book ya zain naweza nikaibackup halafu nikamtumia
 
Guys asante kwa kujaribu kunisaidia.I managed to use the browser bila ya kusubscribe kwenye data plan kwa kutumia line ya zain. Nilichokifanya ni kuchukua line ya zain amabyo huwa naitumia kwenye gsm modem kisha nikaipachika humu ndani.ikaload service book yote ya zain ikawa ndani ya simu.browser automatically ikaachia yenyewe bila kupenda.yaani spidi ya net ni nzuri kwa kweli kushinda nilivyokuwa natumia mini opera kwenye tigo.anayehitaji hiyo service book naweza kumtumia afaidi mtandao kwa raha zake
 
Tunashukuru kwa habari hii njema mkuu.
Speed yao ikoje?

....Zain as an ISP:
Zain inafaa katika Blackberry (Tshs 35,000/=) tu. Ninayo Blackberry 9000 Bold na service ni nzuri kwa kiasi chake! Lakini, services nyingine hawana tofauti na VodaCom. Ukitumia Blackberry kwa VodaCom hutotamani kurudia isipokuwa Zain. Kwa Blackberry hapo Zain wamefanikisha!

ISP wengine kama CATS-Net, iWay Africa n.k nitatoa feedback baadae kwani ndio bado natafuta connections zao ili niweze kutoa comment.
 
Back
Top Bottom