Hemed Morroco huwa unaenda mikoani kuangalia mechi za nini kama kikosi unaita hivi?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?

KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?

Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
 
Nasikia huwa anataka apewa vha juu akuite Taifa Stars ...huko hakuna posho....ukiumia ndio shida hapo inaanzia
 
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?

KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?

Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
Siku akifukuzwa utaenda Kumsaidia majukumu yake?

Kila kocha na tactics zake na wachezaji wake anaotumia, si kila mchezaji mzuri anafit tactics zote.

Jamaa kafuzu mataifa Africa, kaonesha Ujuzi wake, ana kila haki ya kupewa uhuru kuchagua anaowataka.
 
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?

KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?

Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
Kibu yupi unayemzungumzia? Kama ni huyu Denis basi jitahidi kuficha chuki yako kwake mkuu!
Kwa Nado sina neno alivoitwa hata asingeitwa sawa,ana katu na kakionesha!
 
Kocha alaumiwe kwa matokeo sio kuita kikosi.. Kumbuka scolari alipomuacha fundi romario.

Bwenzi yule wa kengold?? Anahitaji muda kidogo kuthibitisha kuwa ule sio upepo mzuri umepita kwake, anahitaji muendelezo wa kile alichokifanya kwenye mechi hizi chache.
 
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?

KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?

Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
Kuhusu Kibu, maelezo anayo Diarra
 
Kafuzu afcon nadhani si kocha mbaya na anajua anachofanya
Kamfunga Guirass nje ndani si jambo dogo
 
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?

KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?

Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
Makocha wa kibongo jau sana! Naangalia game ya Simba vs Dodoma zile tambo za Mexime zilizonifanya niiangalie hii mechi na nchoona kwa Dodoma ni tofauti, wachezaji wa Dodoma fitness ni zero🤣na wala hawachezi kama wana mwalimu wa mpira!
 
Bora ata kaseja atakuja kuwa kocha mzuri
 
Back
Top Bottom