sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
- Thread starter
- #41
Alizaliwa na huo uzoefu uyo kibu ?Muda mwingine ni ushabiki tu, Yani umuache mchezaj km kibu mwenye uzoefu na mech za kimataifa umchukue chikola.
What if asingeaminiwa Simba wakasajiliwa wazee wazoefu kina okwi
Hoffen, na bwenzi kwa mwaka huu wame perform better than KIBU