Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata TP wangesubiria SAMATA athibitishe asingefika hukoKocha alaumiwe kwa matokeo sio kuita kikosi.. Kumbuka scolari alipomuacha fundi romario.
Bwenzi yule wa kengold?? Anahitaji muda kidogo kuthibitisha kuwa ule sio upepo mzuri umepita kwake, anahitaji muendelezo wa kile alichokifanya kwenye mechi hizi chache.
Kaseja anakuja vizuri na ni bora kuliko hao makocha wahamasishaji type ya akina MorokoBora ata kaseja atakuja kuwa kocha mzuri
Labda kama unaskiliza TBC TaifaSaadun hakuna mchezaji japo mimi ni shabiki wa Azam
Hata kama mpira hauchezwi chumbani bwenzi na chikola Wana numbers na viwango vizuri kuliko kibuSiku akifukuzwa utaenda Kumsaidia majukumu yake?
Kila kocha na tactics zake na wachezaji wake anaotumia, si kila mchezaji mzuri anafit tactics zote.
Jamaa kafuzu mataifa Africa, kaonesha Ujuzi wake, ana kila haki ya kupewa uhuru kuchagua anaowataka.
Makocha wa kibongo jau sana! Naangalia game ya Simba vs Dodoma zile tambo za Mexime zilizonifanya niiangalie hii mechi na nchoona kwa Dodoma ni tofauti, wachezaji wa Dodoma fitness ni zero🤣na wala hawachezi kama wana mwalimu wa mpira
Basi tuishie hapa! We endelea kuangalia namba.Ila tunaongalia mpira tunajua mchango na umuhimu wa kibu uwanjani katika club na taifa!KIBU
number hana kuwazidi hao
Sawa nimesema yaishe mkuu! Naona bwenzi na chikola timu zao ziko nafasi za juu kwenye ligi,na walipoitwa timu ya taifa athari yao ilionekana kuwa ni chanya!Hana mchango kuwazidi bwenzi na chikola
Hapa unazungumzia kusain na kuitwa timu ya taifa..Ata TP wangesubiria SAMATA athibitishe asingefika huko
Mkuu nmegundua hauna akiliSawa nimesema yaishe mkuu! Naona bwenzi na chikola timu zao ziko nafasi za juu kwenye ligi,na walipoitwa timu ya taifa athari yao ilionekana kuwa ni chanya!
Tufanye unavyotaka,kibu kapendelwa
Kuna nchi huwezi complain ata mkuu mfano SpainHapa unazungumzia kusain na kuitwa timu ya taifa..
Vyote ni kamari lakini vina utofauti kidogo..
Kumsajili mchezaji ukilega wenzio wanabeba, ama unaweza ukasajili akaja kuwa flop ama kushine.
Timu ya taifa mchezaji yupo tu, kama kocha haoni kama anafaa kwa sasa atafaa kwa baadae... Na kocha asilaumiwe kutomuita mchezaji, kocha alaumiwe kwa matokeo mabovu.
Hizi kelele za muite fulani, zipo duniani kote, muacheni mwalimu afanye kazi yake.
Hongera! Endelea na ugunduzi,utagundua mengiMkuu nmegundua hauna akili
Kwaiyo wenye vipaji ni walio team kubwa tu?
Ally Salim anaitwa Yona Amos anaachwaJamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?
KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?
Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
Chifu jamaa anaandika kama kakatwa kichwaMkuu nmegundua hauna akili
Kwaiyo wenye vipaji ni walio team kubwa tu?