Nimeishia hapo ulipohoji uhalali wa KIBU DENIS kuitwa.
Yanga tukicheza na Makolo mchezaji ninayemuhofia sana ni Kibu. Sio kwa sababu ni mfungaji mzuri bali hajuagi kitu kinaitwa kukata tamaa. Muda wote anakuja, muda wote anautaka mpira.
Mkuu nna hakika unazungumzia Kibu Denis ,tanguliza utaifa kwanza achana na u club wa timu Yako ,Kibu ana shda gan?? Mm ni yanga ila hata mm Kwa ajili ya taifa naunga mkono