Hemed PHD ashindwa kununua gari la milioni nne

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Wasanii hawa wabongo ukiwaona kwenye tv unaweza waona wanahela sana kumbe hawana lolote.

Juzi kati hapa Hemed PHD pamoja na kulamba lamba lips zake alishindwa kuchukua GX 100 kwa milioni nne tu na iko vizuri kabisa haina tatizo lolote lile. Ilikuwa maeneo ya kinondoni kanisani alienda pale kuulizia gari, akaonyeshwa hiyo GX ya jamaa mmoja aliyekuwa anadaiwa wakamwambia inauzwa alipotajiwa bei halisi alishindwa lakini kutokana na matatizo ya mmliki wa gari hilo akamwambia atoe hata milioni nne amwachie, jamaa akasema hana labda milioni tatu ndio atatoa.

Yaani alichekesha sana, inamaan yeye alienda kuulizia gari ana shilingi milioni tatu mfukoni? hahahaha....... hata bajaji hupati. Ukiiona tax aliyokuwa anaendesha utacheka sana, kwasababu huwezi hata kuitambua kuwa ni brand gani, haieleweki kabisa. HEMEEEEEEEEEEEEEEEED

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo uwezo wake ulipoishia! Kuwa na m5 kwaharaka kwahuyo H' labda awe punda au aende mombasa.. Ila kwakazi halali anayoifanya' nivigumu. Maana fani yake haimpendi ila analazimisha kukubalika.
 
Wasanii hawa wabongo ukiwaona kwenye tv unaweza waona wanahela sana kumbe hawana lolote.

Juzi kati hapa Hemed PHD pamoja na kulamba lamba lips zake alishindwa kuchukua GX 100 kwa milioni nne tu na iko vizuri kabisa haina tatizo lolote lile. Ilikuwa maeneo ya kinondoni kanisani alienda pale kuulizia gari, akaonyeshwa hiyo GX ya jamaa mmoja aliyekuwa anadaiwa wakamwambia inauzwa alipotajiwa bei halisi alishindwa lakini kutokana na matatizo ya mmliki wa gari hilo akamwambia atoe hata milioni nne amwachie, jamaa akasema hana labda milioni tatu ndio atatoa.

Yaani alichekesha sana, inamaan yeye alienda kuulizia gari ana shilingi milioni tatu mfukoni? hahahaha....... hata bajaji hupati. Ukiiona tax aliyokuwa anaendesha utacheka sana, kwasababu huwezi hata kuitambua kuwa ni brand gani, haieleweki kabisa. HEMEEEEEEEEEEEEEEEED

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

ungekuwa mjanja ungempa Hemed big up!kimjini mjini kama kitu hujakichengukia unataja dau dogo kabisa ambalo unajua muuzaji hatokubali ili uiteme hiyo biashara....
 
for rilla ..hapa mjini siyo! ukishoboka na ukaona mtu kakutajia kitu ghali kidogo kwa bei ndogo hapo akili kumkichwa..
unaweza kuta gari yenyewe miyeyusho body tu ndio inayouza!!
 
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)....Hemed PHD
confused-face-smiley-emoticon.gif
 
mbona tuhuma za kipuuzi mkuu!
kwani ni lazima anunue!?
GX 100 kwa milioni 4 we unafikiri mtu ataacha kuogopa?
 
GX 100 kwa 4m?

Usicheze na shida,mimi mwenyewe kuna ndugu yangu aliuza GX 100 "Toyoya Cresta,exceed" namba C "I mean bado mpya" kwa 4.1M.
Baba yake alikuwa anaumwa,alitakiwa apelekwe India kwa matibabu.
 
kweli kabisa vitu vinatafutwa uhai hautafutwi
 
Nakumbuka mwaka 2010 nilikosa pikipiki ya sh 350,000 kwa sababu nilikuwa na laki tatu na 40.
Ni kwamba mwenye nayo alikuwa na shida na hicho kiasi cha pesa tuu na alikuwa na haraka. Nilimwomba jamaa anisubirie kwa dk kumi ili nikachukue hiyo ten, ile narudi tu, jamaa ndio anapokea tatu na nusu kwa mshikaji mwingine.
Shida hizi we acha tu!
 
Back
Top Bottom