Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Wasanii hawa wabongo ukiwaona kwenye tv unaweza waona wanahela sana kumbe hawana lolote.
Juzi kati hapa Hemed PHD pamoja na kulamba lamba lips zake alishindwa kuchukua GX 100 kwa milioni nne tu na iko vizuri kabisa haina tatizo lolote lile. Ilikuwa maeneo ya kinondoni kanisani alienda pale kuulizia gari, akaonyeshwa hiyo GX ya jamaa mmoja aliyekuwa anadaiwa wakamwambia inauzwa alipotajiwa bei halisi alishindwa lakini kutokana na matatizo ya mmliki wa gari hilo akamwambia atoe hata milioni nne amwachie, jamaa akasema hana labda milioni tatu ndio atatoa.
Yaani alichekesha sana, inamaan yeye alienda kuulizia gari ana shilingi milioni tatu mfukoni? hahahaha....... hata bajaji hupati. Ukiiona tax aliyokuwa anaendesha utacheka sana, kwasababu huwezi hata kuitambua kuwa ni brand gani, haieleweki kabisa. HEMEEEEEEEEEEEEEEEED
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Last edited by a moderator: