1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
hemed suleiman aka phd amefunguka kua et yy haring bal n swaga 2 na pia t seems wa2 wanaomdisi wanamuonea wivu cz wanadiploma akat yeye anahold phd,,
Pia kumbe jamaa alkua anataka kuanzisha hemed wife search et aweke audition wanawake waje yeye achuz wife iiii n akl matope uyu amelewa ustaa au nn n cmuelew et naomben msaada
hiyo topic imechanganywa na lugha gani ukweli sijaelewa baadhi ya maneno mengine kabisa
Mkuu hata mimi hiyo lugha imenichanganya kweli.Sijui ndiyo kuandika ki-digitali!!!!???
Kweli mkuu mleta mada ameandika kwa swaga sana, kunauwezekano mkubwa yeye mwenyew ndio akawa hemedi maana hiyo ndio miandiko yaohiyo topic imechanganywa na lugha gani ukweli sijaelewa baadhi ya maneno mengine kabisa