Hemed PhD: Mimi siringi, hizi ni swaga tu

Hemed PhD: Mimi siringi, hizi ni swaga tu

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
Hemed Suleiman aka phd amefunguka kua eti yeye haringi bali ni swaga 2 na pia it seems watu wanaomdis wanamuonea wivu coz wana diploma wakati yeye anahold phd.

Pia kumbe jamaa alikua anataka kuanzisha Hemed wife search eti aweke audition wanawake waje yeye achuzi wife, hii ni akili au matope? Huyu amelewa ustaa au nn na simuelewi eti naombeni msaada.
 
Hili jamaa kichwani limejaa makamasi tu...yani,ni lijinga to the maximum.
 
hemed suleiman aka phd amefunguka kua et yy haring bal n swaga 2 na pia t seems wa2 wanaomdisi wanamuonea wivu cz wanadiploma akat yeye anahold phd,,
Pia kumbe jamaa alkua anataka kuanzisha hemed wife search et aweke audition wanawake waje yeye achuz wife iiii n akl matope uyu amelewa ustaa au nn n cmuelew et naomben msaada

Sasa mleta mada unaomba msaada gani hapo..? Tukujuze kama anafahamu maana ya ustar au nini.
BTW: kumbe sanaa ya bongo inalipa,hadi PhD holder ni msanii wa sanaa ya bongo...!
Ila suala la sijui hemed wife search hapo atakuwa anatafuta mke au mrembo...!
 
hiyo topic imechanganywa na lugha gani ukweli sijaelewa baadhi ya maneno mengine kabisa
 
hiyo topic imechanganywa na lugha gani ukweli sijaelewa baadhi ya maneno mengine kabisa

Mkuu hata mimi hiyo lugha imenichanganya kweli.Sijui ndiyo kuandika ki-digitali!!!!???
 
Hata hivyo huwa natazama video za nyimbo zake, ziko makini. Kwamba hazina ukakasi wowote na huwa anaonekana kutulia sana kwenye nyimbo. Sijajua siri yake nini. Kwa hilo nampa heko.
 
Hemed msanii wa filam na music wa hawa vjiana anasema yeye haringi ila ana swag..,n mana ya swag mana jana masanja mkandamizaj kule facebook kasema mana yake kidgo nmeshituka
 
Afu huyu Hemedi wakisema wenye swaga tukutane uwanja wa TAIFA nae ataenda,aende kule na Caro lite zake
 
hiyo topic imechanganywa na lugha gani ukweli sijaelewa baadhi ya maneno mengine kabisa
Kweli mkuu mleta mada ameandika kwa swaga sana, kunauwezekano mkubwa yeye mwenyew ndio akawa hemedi maana hiyo ndio miandiko yao
 
Ndio nani huyo hebu wekeni hata picha yake tumjue..
 
usirudie tena kuandika kama form four wa mullugo. huku tunaandika maneno mazima.
 
..mmh wenyeji wa hili jukwaa mnaishije, mbona naona vituko tu...
 
Back
Top Bottom