Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mbele anaongoza T.I
Kuna Eddie Murphy Bwana nae ni shidaWewe T.I ni chamtoto tu, ana 5 biological children mbona ni kawaida tu kwa watu weusi. Ngoma ipo kwa DMX, mara ya mwisho kusikia mwaka juzi 2015 alipata mtoto wa 15 sijui sasa hivi kafikisha wangapi. Inaelekea DMX hajawahi kununua condom tangu azaliwe
Na sisi tuzae tuu.. kuna mwanasoka wa zaman wa Brazil anaitwa Robert carlos yeye ana watoto 9 na wote wanajulikana..Hao sita tu ndiyo hadi apewe pongezi. Nilidhani ntakuta inasoma 25 au thirty something kumbe 6 daaaah uzembe.
Ukiamua kufyatua fyatua kweli.
Bado wachache japo wazungu hapo unaweza hata kushitakiwa.Na sisi tuzae tuu.. kuna mwanasoka wa zaman wa Brazil anaitwa Robert carlos yeye ana watoto 9 na wote wanajulikana..