Hemed PhD ndiye msanii mwenye watoto wengi Tanzania?

Hemed PhD ndiye msanii mwenye watoto wengi Tanzania?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii

 
Yaaah mwanaume mashine [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
'FYATUENI TU NITAWASOMESHA', should ladies put passwords to zip their legs? no..no .. aongeze wengine
 
Wewe T.I ni chamtoto tu, ana 5 biological children mbona ni kawaida tu kwa watu weusi. Ngoma ipo kwa DMX, mara ya mwisho kusikia mwaka juzi 2015 alipata mtoto wa 15 sijui sasa hivi kafikisha wangapi. Inaelekea DMX hajawahi kununua condom tangu azaliwe
Kuna Eddie Murphy Bwana nae ni shida
 
Hao sita tu ndiyo hadi apewe pongezi. Nilidhani ntakuta inasoma 25 au thirty something kumbe 6 daaaah uzembe.
Ukiamua kufyatua fyatua kweli.
 
yaan Hemedi hajakua tu kila interview ni kujisia mara nilikuwa natia wanawake wa5 kwa siku
 
Hao sita tu ndiyo hadi apewe pongezi. Nilidhani ntakuta inasoma 25 au thirty something kumbe 6 daaaah uzembe.
Ukiamua kufyatua fyatua kweli.
Na sisi tuzae tuu.. kuna mwanasoka wa zaman wa Brazil anaitwa Robert carlos yeye ana watoto 9 na wote wanajulikana..
 
Hao watoto sita anaishi nao kwake? Anatimiza mahitaji muhimu kama Baba? Au just misifa tu ya kwamba nina watoto,hata hajui wamevaa nini na wamekula nini
 
Asiache tu kiwasomesha , nakiwapa huduma stahiki, maana kuzalisha sio issue , issue kulea
 
Anasema ana watoto wengi tu.
ila anampost mmoja kwasababu mama ake anataka, wengine mama zao hawataki watoto wao wapostiwe...
anawahudumia watoto wote,anasema anawapa huduma zinazostahili wote...

Hemed yuko vizuri sana kwenye interview,nampongezaga kwa hilo
 
Back
Top Bottom