Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,226
hatari mkuuWewe T.I ni chamtoto tu, ana 5 biological children mbona ni kawaida tu kwa watu weusi. Ngoma ipo kwa DMX, mara ya mwisho kusikia mwaka juzi 2015 alipata mtoto wa 15 sijui sasa hivi kafikisha wangapi. Inaelekea DMX hajawahi kununua condom tangu azaliwe