Hemed PhD ndiye msanii mwenye watoto wengi Tanzania?

hatari mkuu
 
Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii

Mambo ya peku peku kabla ya ndoa hayo
 
Akihojiwa katika kipindi cha E News cha EATV Msanii wa bongo movie na bongo fleva Hemed amesema anawatoto zaidi ya sita lakini amekuwa akimpost mmoja kwenye mitandao ya kijamii

Kama kakiri ni watoto wake hamna shida, shida iko kwa wale wanaojifanya mastaa wazaa halafu wanakataa sio wao.
 
KWELI KABISA NI NOMAA JAMAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…