Hemed PHD: Nina mwezi mmoja na nusu sijaoga

Hemed PHD: Nina mwezi mmoja na nusu sijaoga

2257995_f10s103.gif
 
Kipindi kimedoda kilianza kwa kiki za kijinga na bado kinaendelea na kiki za kijinga

Mara kumi shilawadu
Tatizo pale hakuna creativity , watangazaji weng hamna kitu , lundo la presenters wanaoboa , heri uwe na presenter wawili Tu wanatosha walio na creativity na sio kucheka Cheka ovyo...
 
eeh,hao wanawake anaolala nao bila kuoga, huenda wakawa ni wale wa buku jero...mwanamke anaejielewa huwez kumgusa bila kuoga kwanza
 
Back
Top Bottom