Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Tafadhalii mkuu! Mji mzito huu.Asingizie au ni kweli,? Afu mbona inajulikana wazi kabisa huyo ni vanilla ya mtu, lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhalii mkuu! Mji mzito huu.Asingizie au ni kweli,? Afu mbona inajulikana wazi kabisa huyo ni vanilla ya mtu, lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh wanaume wa Dar hivi dudu baya hana data,basi tupe wwAsingizie au ni kweli,? Afu mbona inajulikana wazi kabisa huyo ni vanilla ya mtu, lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi post huo ubwege akafuta.Jamaa zama zake zishaisha sasa anatafuta kiki za kijinga, kesho atajisingizia yeye ni shoga ili tumuongelee tu, "umaarufu na gharama zake"
mkuu hiv uyu kiumbe Ana PhD kwel tuanzie apo kwanza 🤔🤔🤔Wakati akifanyiwa interview kwenye kipindi Cha block89 Cha Wasafi fm Hemedi amesema yeye apendi kuoga na niliwahi kukaa mwezi 1 na nusu bila kuoga na ninapiga mademu Kama kawa.
Tatizo pale hakuna creativity , watangazaji weng hamna kitu , lundo la presenters wanaoboa , heri uwe na presenter wawili Tu wanatosha walio na creativity na sio kucheka Cheka ovyo...Kipindi kimedoda kilianza kwa kiki za kijinga na bado kinaendelea na kiki za kijinga
Mara kumi shilawadu
Doooooh!
Jibu mujarabu umempatiaTumeshakuzoea Mama.
hujakosea kiongozi