Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Duh!bongo kazi 2nayo,so hayo ndo mafanikio yake hayo?
Duh!bongo kazi 2nayo,so hayo ndo mafanikio yake hayo?
Hujamuona hapo juu?Muuuuuuuza sura,uko wapi leo?
Hivi "Mama Kimbo" ndio imeshabuma??
I wish ingekuwa ya Mabeste yote coz kaitendea haki midundo ya Mafia.
Na hao dadas wanao tembea na mshamba kama yule ,,wanafata nn? Yule mshamba,mjinga,limbukeni,hajawash ,hajatembea,,
Miongoni mwa sababu wanazofanya wenzio watembee na PHD!...kibongobongo dogo star,anatupia,anajua kujifanya kakolea kwa demu,sauti silaha,mcheshi,ana mguu wa mtoto,n.k
Demu wangu aliniambia!...kinje kuwa na kibamia watu walijuaje?mzee bongo ukigonga magubegube jua unawekwa hadharani sasa kama unajifanya unapenda halafu kibamia lazima uchoreshwe!acha ungese wewe,eti 'ana mguu wa mtoto',umejuaje?
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz.
anasema yeye anajiita PHD sababu ya kulala na hao mabinti mastaa 32 wa tanzania.
maoni yangu: kumbe wakati watu wengine tukijisifu mafanikio ya kuishi maisha bora,kumbe kuna watu wanajisifu kwa kulala na mabinti wengi,mi kwa upande wangu naona huo siyo ujanja,mwanaume asifiwi idadi ya wanawake aliolala nao,bali anasifiwa kwa kazi na mafanikio aliyopata