Hemedi PHD ajivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa Tanzania 32 tena bila....

Hemedi PHD ajivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa Tanzania 32 tena bila....

Watu wanapoteza pesa kupata warembo!mnyama anamega bure na wengine kumuhonga!haya ni mafanikio kwani fungu la kuhonga linakuwa saved kwa mambo ya maendeleo!big up jonny bravo PHd mnyama!
upo right aisee hata kama wa2 hawatataka....hawatataka basi tu kv wamezoea ku-pretend na kuwataka wengine wote wa-pretend!
 
Timing ya kuachia haikuwa sawa!ila kichupa bila shaka atakitendea haki!

sema game ya bongo haiko fair smtime..ingkuwa fair mtoto Rich Mavoko angekuwa matawi mengine sasa ivi,ana vingoma vyake flan kakamua knm..sema utashangaa atayeyuka km upepo tu.
 
sema game ya bongo haiko fair smtime..ingkuwa fair mtoto Rich Mavoko angekuwa matawi mengine sasa ivi,ana vingoma vyake flan kakamua knm..sema utashangaa atayeyuka km upepo tu.

Rich anajua sema haijang'alia!shangaa mr vihips ommy dimpoz na vingoma vyake viwili vya bahatisha ndulute anakimbiza! au kumbuka belle 9 kabla diamond hajapewa tuzo kimagumashi ndo ikawa bao la kisigino hadi leo anakimnbiza!
 
upo right aisee hata kama wa2 hawatataka....hawatataka basi tu kv wamezoea ku-pretend na kuwataka wengine wote wa-pretend!

Watakubali!!,maisha yalivyokuwa magumu na madem wanavyopenda kupendeza halafu umle bure wanajua jamnbo dogo hawa makiza!!!kaka zao mjini wanahonga magari na katika bendi wanamwaga pesa waimnbwe ili wapate majina ya kung'oa kilaini...wakali wanapiga bure!
 
Kuna watu ambao hauwezishangaa anachofanya/anachoongea. PHD anafanana na hayo maneno yake, hatuwezi shangaa-upuuzi mtupu.
 
lete Kahawa
Au lete Kashata
Kuna mtu kapagawa
Na karibu atadata

Lete kahawa
Au lete Kashata
Kuna mtu kapagawa
Na karibu atadata

Helwaa helua helua
Helwaa helua helua
 
Demu wangu aliniambia!...kinje kuwa na kibamia watu walijuaje?mzee bongo ukigonga magubegube jua unawekwa hadharani sasa kama unajifanya unapenda halafu kibamia lazima uchoreshwe!

duuh hiyo kali,kumbe na dem wako kashapitiwa?
 
AT ndo anapumua kwenye kisogo cha mchizi,chezea heluwa ww!
 
Hiyo njemba itakuwa haijui kugonga ndo maana imepitia madem wengi coz kila anayempata anakuwa disappointed na hataki tena mara ya pili.
 
tatizo sio kuptia mademu hao wote, sasa kututangazia ana maana gani? Anafundisha nini jamii ya watz? Nashangaa watu wanao mpa sifa za kijinga. Kama anawaptia awaptie tu lakini sio kututangazia maana haileti effect
 
Back
Top Bottom