mama kiluwasha
Member
- Jul 17, 2012
- 20
- 1
Mi kanichosha kwenye interview yake kwenye take one ya clouds tv ameulizwa kuhusu kuoa anasema atafanya audition ya kutafuta mke.. Mke anatafutwa kwa kufanya audition jamani?? Hivi mzima kweli yule?? Seriously nlizima tv kabisa coz upuuz aliokua anaongea aibu nlikua naiona mimi..