Hemedy PhD adai watoto wake 6 wamepishana miezi miwili, miwili tu

Hahahaha karma is real
 
Watu wa Tanga hao wewe waache kama walivyo...mbaya zaidi ni wa ile imani yetu kuwa na watoto wengi tena wa mama tofauti ni kawaida sanaaa.....
 
Huyu ana watoto!? Mi nikajua Sugu anavyombandua pale Denfrance basi hawezi kujaza mimba watu kama DAB
 
Hapa ndipo tulipofika kama jamii.Wasanii kujigamba juu ya mambo machafu hadharani,halafu wengine wanaiga.Jamii nzima inaelekea kushindwa kurejesha maadili ya ndoa na heshima kwa familia.Hata sisi sii wasafi,lakini hili la kutukuza uchafu hadharani ni baya.
 
Huyu jamaa huwa anaimbaga Kwaya au Kaswida!
 
Pimbi huyu hana lolote kuimba hajui ni ujanja ujanja tyu na masifa,ila awamu utanyooka labda uzibuliwe mtaro pumbv msijikweze kudanganya watu peleka huu upuuz wako facebook
 
Huyu maisha yameshamshinda, muvi zimekufa na kwenye muziki zero
 
anamuiga FUTURE sio????...sawa ngoja wafike kipindi cha kwenda shule!!..
 
Mkuu umenikumbusha movie moja hiv inaitwa gentleman's dignity jamaa mmoja hiv alimwambia mwanamke mmoja hivi you want a real love from me while i know your heart belongs to another person..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…