Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AiseeAtawasomesha kijanja janja .hamuwajui Watoto wa mjini hao.apo ata gharamia uniform tu.mtoto anasoma Shule nzuri kbsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeAtawasomesha kijanja janja .hamuwajui Watoto wa mjini hao.apo ata gharamia uniform tu.mtoto anasoma Shule nzuri kbsa
Hahahaha karma is realNipo Mlimani City nimemkuta mdada anajimiminia bia moja baada ya nyingine kwa hasira. Namuuliza kulikoni ndugu yangu, mbona bado asubuhi na mapema hivi? Ananiambia, "We fikiria uncle, nna maboy friend wangu hawa, watatu. Huyu mmoja nilimpenda sana nilikuwa nafikiria one day tutaoana. Yaani ndio nimekuja kugundua kumbe ananicheat na wanawake wengine. Uncle hapo ungekuwa wewe ungejisikiaje? ".
Inabidi na mimi niagize mzinga wa konyagi ili niendelee kutafakari.
Watu wa Tanga hao wewe waache kama walivyo...mbaya zaidi ni wa ile imani yetu kuwa na watoto wengi tena wa mama tofauti ni kawaida sanaaa.....Mtoto wa kwanza mpaka wa sita hakuna hata mtu wa kumkanya ktk familia yake?amelelewa ktk familia gani huyu kijana{sisemi mimi ni msafi}ila ni aibu baba au mama kuitwa bibi au babu na watoto waliopatikana kwa njia ya uzinzi,tena wajukuu sita...asijifananishe na sijui Future huyu naamini amelelewa ktk maadili ya kidini huyo role model wake anaweza kuwa haamini uwepo wa Mungu na dhambi ila huyu dogo anao wazazi wanaoamini hivyo na anawatia aibu!sasaivi kijana kumtia demu mimba imekuwa sio hatari tena kwa wazazi bali ushujaa wa-Africa sivyo tulivyo sisi wazazi wawasimamie vijana wao wawape wake wakiona umri umefika!
I seeHuyu ana watoto!? Mi nikajua Sugu anavyombandua pale Denfrance basi hawezi kujaza mimba watu kama DAB
ukiwa stareheni leo usiwaze kesho ili ustareheke leoYaani kwa miezi miwili wataanza shule mwaka mmoja woote sasa mziki ndo utakuwa hapo, sijui hakuliwaza hilo?
Hakuna maana ingekua wimbo Ni muda ila mbona inajulikana anawatoto wengiKiki hiyo katoa wimbo mpya
Mkuu umenikumbusha movie moja hiv inaitwa gentleman's dignity jamaa mmoja hiv alimwambia mwanamke mmoja hivi you want a real love from me while i know your heart belongs to another person..Nipo Mlimani City nimemkuta mdada anajimiminia bia moja baada ya nyingine kwa hasira. Namuuliza kulikoni ndugu yangu, mbona bado asubuhi na mapema hivi? Ananiambia, "We fikiria uncle, nna maboy friend wangu hawa, watatu. Huyu mmoja nilimpenda sana nilikuwa nafikiria one day tutaoana. Yaani ndio nimekuja kugundua kumbe ananicheat na wanawake wengine. Uncle hapo ungekuwa wewe ungejisikiaje? ".
Inabidi na mimi niagize mzinga wa konyagi ili niendelee kutafakari.