Hennessy ni overrated

Hennessy ni overrated

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia kwenye mavazi ,harufu ,chakula n.k..kama wasemavyo waswazi pesa inapoimba Hadi wenye hekima hukata mauno ya sunche na kapeto..!

Basi mshua ndama nikiwa ughaibuni niliporejea toka likizo bongo nyoso, Leo mchana nimeamua kuonja hii pombe yenu ambayo husababisha dada zetu waachie vipochi manyoya bila shuruti ,huku ikiwaacha vijana wengi wa daslamu wakiwa marinda free!!

Ukweli hii pombe ni overrated licha ya kuwa na bei ya kawaida lakini hata Radha yake ni hovyo sana, hii ya leo nitamuachia paka wangu Jerome ainywe pamoja na maziwa yake usiku ,huku the big boss nikirudi kwenye konyagi niliyobebe toka buza kwa lulenge
 
Attachments

  • IMG20250226150131.jpg
    IMG20250226150131.jpg
    429.5 KB · Views: 1

Sawa mwenye pochi!
 
Sawa mkuu ila nakushauri next time usitumie njia hiyo kuficha sura yako maana kwa sisi wengine hapo hatujaona ulichoficha, ni easy sana.

Ikibidi ifute.
 
Mh! we sema tu pombe aina ya brandy si pombe unazozifagilia!, brandy mi mwenyewe sizikubali sijui zipoje tu hata hapa bongo Hanson's choice ni brandy pia zipo nyingi..

Hennessy imekuzwa tu kwaajili ya kibiashara lkn zipo pombe nyingi tu ambazo ni nzuri kushinda hizo zinazonunuliwa kwa malaki ya pesa!
Japo kwa kiasi fulani Hennessy ina u smooth fulani tofauti na brandy nyengine!.
Halafu mkuu Hennessy hatunywagi kwenye glass ya wine zipo glass zake ambazo zinaitwa brandy glass..😅
 
Situnzi glass kwa ajili ya pombe kwangu , nyumba yangu sio bar
 
Back
Top Bottom