mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia kwenye mavazi ,harufu ,chakula n.k..kama wasemavyo waswazi pesa inapoimba Hadi wenye hekima hukata mauno ya sunche na kapeto..!
Basi mshua ndama nikiwa ughaibuni niliporejea toka likizo bongo nyoso, Leo mchana nimeamua kuonja hii pombe yenu ambayo husababisha dada zetu waachie vipochi manyoya bila shuruti ,huku ikiwaacha vijana wengi wa daslamu wakiwa marinda free!!
Ukweli hii pombe ni overrated licha ya kuwa na bei ya kawaida lakini hata Radha yake ni hovyo sana, hii ya leo nitamuachia paka wangu Jerome ainywe pamoja na maziwa yake usiku ,huku the big boss nikirudi kwenye konyagi niliyobebe toka buza kwa lulenge