Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonjo anaishi wap?Orginal inapatika kwa chonjo tu
Hii imetoka systembolaget, unajua ni nin?Halafu yamejaa mafeki nadhani.
Ndo bei zake 60k 70k inategemea na eneo piaYohana mtembezi😅😅 nilistuka mpaka mwili niliposkia mls. 550 inauzwa 65k TZS
sawaa boss, vip Hennessy hutumii?Sawa, badilisha mapazia ya kichina mkuu.
Sijui mkuuHii imetoka systembolaget, unajua ni nin?
Iman potofu, na si kila mtu wanaishi dodomaOrginal inapatika kwa chonjo tu
Mimi zungumzia chakula chochote kwangu ni bure, ila mchunga ndio wenyewe kwani una radha nzuri sana ambayo hauwezi kuipata kwenye chakula chochote kile.Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia kwenye mavazi ,harufu ,chakula n.k..kama wasemavyo waswazi pesa inapoimba Hadi wenye hekima hukata mauno ya sunche na kapeto..!
Basi mshua ndama nikiwa ughaibuni niliporejea toka likizo bongo nyoso, Leo mchana nimeamua kuonja hii pombe yenu ambayo husababisha dada zetu waachie vipochi manyoya bila shuruti ,huku ikiwaacha vijana wengi wa daslamu wakiwa marinda free!!
Ukweli hii pombe ni overrated licha ya kuwa na bei ya kawaida lakini hata Radha yake ni hovyo sana, hii ya leo nitamuachia paka wangu Jerome ainywe pamoja na maziwa yake usiku ,huku the big boss nikirudi kwenye konyagi niliyobebe toka buza kwa lulenge