Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo soda gani mbona coka na fanta hawana hiyo sodaNatumia Sant Anna
Asante sana cute bHepi besidei tu yu!!
Dah leo asubuhi ndo nakumbushwa leo ni basidei angu
Miaka inazidi kusonga , milima ni mingi sana aisee ila Mungu anatushindisha na zaidi ya kushinda
Wana harakati wenzangu wa maisha tuendelee kuzichanga karata zetu vyema mazee , siku yaja sika yaja !!
Love myself I do. Not everything, but I love the good as well as the bad. I love my crazy lifestyle, and I love my hard discipline. I love my freedom of speech and the way my eyes get dark when I'm tired. I love that I have learned to trust people with my heart, even if it will get broken. I am proud of everything that I am and will become
Nimenunua chips ili nile kusheherekea basidei angu kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia.imebidi nivae earphones,napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
You have to fight back, No matter what life throws back at you.
Love you all !!
umesahau kutualika wana kwaya,,,,,,Watu wa mungu tunavyosherehekea basidei zetu
Maid: Please. What can we help you Sir..!
Me: Fantasize this Table with ten Fantastic FantasView attachment 1188126
Sawa nimerudiHahahaha unatoka nje ya madaa
THanks brohhappy birthday mkuu,,,
Cheers to the nations biggest secret, your true age. Happy birthday!.....
Dah mkuu 😅😅😅Happy birthday. Uwe na miaka mingi kama mchanga wa bahari
Hahaha kwa nini mkuu wangu ?Huyo dogo nina wasiwasi atakuwa ni swalehe mwenyewe[emoji23][emoji23]
Hahaha kakaumesahau kutualika wana kwaya,,,,,,
huku kuzimu tuna kusubiria ,,
Happy Birthday on your very special day, I hope that you don't die before you eat your cake!
Teh ...What you doing in the club on a Friday?’
He say he only here for his own birthday…
He ordered fanta but still look thirsty,
Rock Forever 23 but just turned 30.
dah we jamaa mi ni katuni ? 😎Hapy birthday katuni wa jfView attachment 1188145
Soda ni za wageni.Asante sana cute b
Unatumia fanta orenji au pashen
dah 😅😅😅😅😅😅😅😅Soda ni za wageni.
Mimi nikorogee tuu joli juisi.View attachment 1188147
aminia sana mkuu
Mi ni baharia mlatini
Aiseee tumezila na maembe prmary hizi kitu mpaka basiSoda ni za wageni.
Mimi nikorogee tuu joli juisi.View attachment 1188147