Hepi basidei

Hepi basidei

hahahah

nakutumia sasa hivi nauli

Kuna Wazee Ni Wahuni Sana..

Kuna Mzee hapa Kitaani Anatembea na Vibinti Vidogo.

Kuna Jamaa Leo Akamzingua "Mzee Jana Tulikuona Na Kibinti Maeneo Flani, Tuachie na Sisi""

Mzee Akamjibu "We Umeona Jana Tu, Ukuona Juzi Nilikua na Mama Yako ?...."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee nao wamekuwa mafurushi jamani, sio kwa jibu hilo[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom