Hepi basidei

Hepi basidei

Hahaha wimbo wa kifala sana huu

Aahahahahaaa kumbe nawe ni mdau wa matusi eeehhh umeniamsha kidugudeeee

Utamu wa mbwa waluofunguliwa wanakimbia kimbia hovyo mtaani wapate wa kuwafukuza na kuwarudisha bandani .....
Wanakulaga vibao vya matako hao hadi ndani wooh wooh wooh woooh... Aahahahahahahaaaa.

K Moja Matata.
 
Happy born day mkuu. Tumezaliwa mwezi mmoja kasoro tarehe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitasahau na location "namtumbo"
hahahah

nakutumia sasa hivi nauli

Kuna Wazee Ni Wahuni Sana..

Kuna Mzee hapa Kitaani Anatembea na Vibinti Vidogo.

Kuna Jamaa Leo Akamzingua "Mzee Jana Tulikuona Na Kibinti Maeneo Flani, Tuachie na Sisi""

Mzee Akamjibu "We Umeona Jana Tu, Ukuona Juzi Nilikua na Mama Yako ?...."
 
Back
Top Bottom