Hepi basidei

Hepi basidei

Dah leo asubuhi nmeamka nashangaa nmechorwa chorwa usoni na huyu swalehe kumbe basidei yangu bhana dah ndo nkakumbuka yaani hili toto kanipaka paka mi colgate usoni yaani aisee

Miaka inazidi kusonga , milima ni mingi sana aisee ila Mungu anatushindisha na zaidi ya kushinda

Wana harakati wenzangu wa maisha tuendelee kuzichanga karata zetu vyema mazee , siku yaja sika yaja !!

Love myself I do. Not everything, but I love the good as well as the bad. I love my crazy lifestyle, and I love my hard discipline. I love my freedom of speech and the way my eyes get dark when I'm tired. I love that I have learned to trust people with my heart, even if it will get broken. I am proud of everything that I am and will become

Nimenunua chips ili nile kusheherekea basidei angu kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia.imebidi nivae earphones,napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

You have to fight back, No matter what life throws back at you.

Love you all !!
Happy belated birthday!
 
Hizi bethdei siku hizi hazina chipsi dume huwa hazitubariki kabisa wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ngoja nikafanye mapenzi na K Vant nijuie namna ya kukuwish pepi pesdei kibabe.

Hizi biashara za kuzaliwa weekend zina vishawishi na majaribu sana ya kumshinda shetani
 
Hahaha we mzee una mambo sana 😅😅😅😅
 
Basi picha ako ni vile tuu hukunong’onezwa ukweli, sio kwa kufanana huku hehehehhee

Heri ya kuzaliwa, ulikufanikiwa kukata keki au kiepe ilitosha?

Sikula keki mkuu usiku tulisong Ugali
 
Basi picha ako ni vile tuu hukunong’onezwa ukweli, sio kwa kufanana huku hehehehhee

Heri ya kuzaliwa, ulikufanikiwa kukata keki au kiepe ilitosha?
Zimebaki siku mbili za kufanya maombi na toba huku mlimani. Nikishuka huku nakushukia kama mwewe. Ole wako nikukute without... biology itatia timu moja kwa moja kwenye via vya uzazi... Kuna hatari nakatenda miujiza kama ya mzee Mengi....
 
Back
Top Bottom