Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah jamaniUSA baby kapata mshtuko kujua kama Dinazarde kumbe njemba imekata kama Scorpion.[emoji38] [emoji38]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Si wakunifanyia hivyo my wii jamani
Nimeishafika[emoji7] [emoji7] [emoji7] ewaaa, sasa kam zis wei mara moja nikunong'oneze
Tusherekee pamoja mwaka mpya kuanzia mkesha leoNimeishafika
Umeongea kwa code mwanangu hapo nimeelewa maana mbili tofauti, sa sijui ipi ya ukweli hahahUSA baby kapata mshtuko kujua kama Dinazarde kumbe njemba imekata kama Scorpion.[emoji38] [emoji38]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
We jamaa hii ni njemba co manzi aiseeeeeeeeee.................Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.
Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.
Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, heri zangu kuzitowa,
Heri kwako dinazarde, sikuyo ya kuzaliwa.
Nakutaadharisha tu my wii. Huyu mwanyasi asijekukuletea majanga bureSi wakunifanyia hivyo my wii jamani
Your wii?[emoji13] [emoji13]Nakutaadharisha tu my wii. Huyu mwanyasi asijekukuletea majanga bure
Ila si kwa kumuita hadi mke wakeNakutaadharisha tu my wii. Huyu mwanyasi asijekukuletea majanga bure
Yes ni wii wangu kwa Nyani NgabuYour wii?[emoji13] [emoji13]
Ahaa sawaYes ni wii wangu kwa Nyani Ngabu
Nimemwita tu mkewe nimsalimu. Kitambo sana sijamwona ujueIla si kwa kumuita hadi mke wake
Ulifikiriaje kwani mrembo?Ahaa sawa
Mimi huyo wifi yangu nlijua ndo nshaachwa kumbe ana kaka wengi[emoji13]Ulifikiriaje kwani mrembo?