Hepi bathdei to Dinazarde

Hepi bathdei to Dinazarde

USA baby kapata mshtuko kujua kama Dinazarde kumbe njemba imekata kama Scorpion.[emoji38] [emoji38]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umeongea kwa code mwanangu hapo nimeelewa maana mbili tofauti, sa sijui ipi ya ukweli hahah
 
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.

Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.

Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, heri zangu kuzitowa,
Heri kwako dinazarde, sikuyo ya kuzaliwa.
We jamaa hii ni njemba co manzi aiseeeeeeeeee.................
 
Back
Top Bottom