mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
gfsonwin ni wapi huko unapasifia hivyo? Nitumie ramani nikufuate rafiki.rafiki uzuri wa Dar ni maghorofa tu............asikwambie mtu.
ila huku nilipo kiboko, ni pasafi hadi unashindwa kuelewa hivi wananchi wa huku wao mifuko ya nailoni hawaion ama?? ama vocha za simu wao hawatumiii?? hukutan na karatasi wala hata ya vocha njian, kila kona maji yanatiririka masafi kama vile watu hawajui kuharibu vyanzo vya maji.............ni kusafi hewa safi, hakuna mwenye ujuaji kama Dar.
ngoja kwanza nisikusimulie yote hapa nikachakachua uzi wako.
BTW nitapika huu msosi nile kwenye hali hii nzuri nita enjoy sana
Last edited by a moderator: