FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mkifika hapo mnitafute nitakuwa nimevaa ma-red mwili mzima so ni very simple kunitambua dada yenu FL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nowdayz unaniogopesha sana jana unakesi yani leo sitaki hata kuongea na ww
Mkifika hapo mnitafute nitakuwa nimevaa ma-red mwili mzima so ni very simple kunitambua dada yenu FL
poa shem nitakutambua tu kwani nitakuwa na pearl
Mkifika hapo mnitafute nitakuwa nimevaa ma-red mwili mzima so ni very simple kunitambua dada yenu FL
ah ah ah ah now ur tokng
Bilioneaz Klab here i come as single as i sound on Valentine's day........... pheeuuxx!!!!!
mhnnnn, SINA IMANI KABISA na JF Members wengine, hiyo avator jamani lols.No need yakua mpweke vivan! just give me a call and I think we can be a group!! why dont just form a group tukakaa pamoja siku hiyo tukasherekea? I mean kwa wale single but looking..
Du !!!!! Angalia usije kufanya watu wajae hapo mpaka nafasi ikosekane. Kwa wanaJF The last sentence looks like an invitation na kwa jinsi JF walivyo wakarimu watakataa wachache.
...and I love your avatar!! Ni wewe huyo au jirani???No need yakua mpweke vivan! just give me a call and I think we can be a group!! why dont just form a group tukakaa pamoja siku hiyo tukasherekea? I mean kwa wale single but looking..
masingle I hope siku hiyo hamtapiga mared!!! mimi kama kawa ndani ya Jeans nyeusi na fulana nyeupe!! namimina mitusker! I love Tusker jameni
hii nimeipenda!!! lakini dah naweza kukujoin on 13th. Sitaki kuwaangusha mates wa bilionaires clubNamshukuru MUNGU kwamba siku hiyo itakuwa siku ya ibada i.e Jumapili
Namuomba anipe nguvu na uwezo pamoja na kuwa niko uku vijijini niweze kuwatembelea aidha watoto yatima, walemavu, wajane, waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI, waathirika wa majanga mengine pamoja na masikini na wazee wasiojiweza. Nafanya hivi kwa sababu nawapenda sana watu hawa na ningetamani kuwa wangeweza kufurahia maisha kama watu wengine wenye uwezo.
Naomba pale ulipo uniunge mkono mwanaJF mwenzangu
karibu na msasani beach club mkuu!! mbona iko jirani na masaki tu. Nilifikiri umejibatiza masaki coz unaishi masaki
Nashukuru kwa kuipenda, nimekugongea thanks kwa hilo. Pia nashukuru kwa kukubali kuniunga mkono, kungekuwa na kitufe kingine cha thanks ningekutwangia, ila nikushauri kwamba unaweza kufanya hiyo 13th au any other day hata baada lakini iwe imetoka moyoni mwako na MUNGU atakubariki.hii nimeipenda!!! lakini dah naweza kukujoin on 13th. Sitaki kuwaangusha mates wa bilionaires club