Here comes Valentine

Here comes Valentine

Mkifika hapo mnitafute nitakuwa nimevaa ma-red mwili mzima so ni very simple kunitambua dada yenu FL
 
FL1, taratibu rafiki; huo mwaliko nimeona kama ni wa ma-single vile. sasa wewe utakuwa hapo na shem au nawe utakuwa single? ha ha haaaaaaaaaaaa
 
Bilioneaz Klab here i come as single as i sound on Valentine's day........... pheeuuxx!!!!!
 
No need yakua mpweke vivan! just give me a call and I think we can be a group!! why dont just form a group tukakaa pamoja siku hiyo tukasherekea? I mean kwa wale single but looking..
mhnnnn, SINA IMANI KABISA na JF Members wengine, hiyo avator jamani lols.
stuka hapo mpwazzz.
 
Sisi wengine Valentines Day tutakuwa Makambako tunasikilizia ''hang-over'' ya kinywaji tutakachopiga kwenye harusi ya binamu Geoff!! 🙂
 
Namshukuru MUNGU kwamba siku hiyo itakuwa siku ya ibada i.e Jumapili
Namuomba anipe nguvu na uwezo pamoja na kuwa niko uku vijijini niweze kuwatembelea aidha watoto yatima, walemavu, wajane, waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI, waathirika wa majanga mengine pamoja na masikini na wazee wasiojiweza. Nafanya hivi kwa sababu nawapenda sana watu hawa na ningetamani kuwa wangeweza kufurahia maisha kama watu wengine wenye uwezo.
Naomba pale ulipo uniunge mkono mwanaJF mwenzangu
 
Nimeshafanya booking ya mtoto wa binamu yangu Nim, so i'm all set. Kwa wale watakaochukuwa watoto wa ndugu zao tukutane Marry Brown kabla ya kumjoin Vivian Billionairez pub.
 
Du !!!!! Angalia usije kufanya watu wajae hapo mpaka nafasi ikosekane. Kwa wanaJF The last sentence looks like an invitation na kwa jinsi JF walivyo wakarimu watakataa wachache.

Ukaribisho gani huo wakati anajua wapwa watakuwa Makambako?
 
No need yakua mpweke vivan! just give me a call and I think we can be a group!! why dont just form a group tukakaa pamoja siku hiyo tukasherekea? I mean kwa wale single but looking..
...and I love your avatar!! Ni wewe huyo au jirani???
 
masingle I hope siku hiyo hamtapiga mared!!! mimi kama kawa ndani ya Jeans nyeusi na fulana nyeupe!! namimina mitusker! I love Tusker jameni
 
Hivi Billionaires Club iko sehemu gani? Naomba nielekezwe tafadhali.
 
Namshukuru MUNGU kwamba siku hiyo itakuwa siku ya ibada i.e Jumapili
Namuomba anipe nguvu na uwezo pamoja na kuwa niko uku vijijini niweze kuwatembelea aidha watoto yatima, walemavu, wajane, waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI, waathirika wa majanga mengine pamoja na masikini na wazee wasiojiweza. Nafanya hivi kwa sababu nawapenda sana watu hawa na ningetamani kuwa wangeweza kufurahia maisha kama watu wengine wenye uwezo.
Naomba pale ulipo uniunge mkono mwanaJF mwenzangu
hii nimeipenda!!! lakini dah naweza kukujoin on 13th. Sitaki kuwaangusha mates wa bilionaires club
 
Hivi Billionaires Club iko sehemu gani? Naomba nielekezwe tafadhali.

karibu na msasani beach club mkuu!! mbona iko jirani na masaki tu. Nilifikiri umejibatiza masaki coz unaishi masaki
 
Ooops! Ni pale baada ya kupita Regency Park Hotel Mikochen, Old Bagamoyo Road?
 
hii nimeipenda!!! lakini dah naweza kukujoin on 13th. Sitaki kuwaangusha mates wa bilionaires club
Nashukuru kwa kuipenda, nimekugongea thanks kwa hilo. Pia nashukuru kwa kukubali kuniunga mkono, kungekuwa na kitufe kingine cha thanks ningekutwangia, ila nikushauri kwamba unaweza kufanya hiyo 13th au any other day hata baada lakini iwe imetoka moyoni mwako na MUNGU atakubariki.
 
Back
Top Bottom