Here I am. Hodi wana JF.

Here I am. Hodi wana JF.

Idda

Member
Joined
May 22, 2009
Posts
64
Reaction score
0
I have been a visitor to JF, for a long time.
I've come in at last.
May I say Hodi hapa ukumbini wana-mapinduzi.
Mnanipa ushauri gani ili niwe sawa hapa JF?
 
Welcome in idda keep say hello 2 me ok.....
 
Idda, karibu sana ndani ya JF jisikie uko nyumbani. Kuwa huru kabisa humu ndani.
 
I have been a visitor to JF, for a long time.
I've come in at last.
May I say Hodi hapa ukumbini wana-mapinduzi.
Mnanipa ushauri gani ili niwe sawa hapa JF?

Karibu mpaka ndani.

Upo sawa na utakuwa sawa zaidi ukirejea sheria za JF. Baada ya hapo karibu tumkome nyani mchana kweupe..!

Again, Karibu.
 
Asante Mtindio.
Huyo NYANI wa kukoma ni NYANI NGABU?
 
Asante Mtindio.
Huyo NYANI wa kukoma ni NYANI NGABU?

Ee kwaheri!

Nyani Ngabu ni memba kama mimi na wewe. Kumkoma nyani giladi mchana kweupe ni kaulimbiu au motto ya JF inayoshabihiana na hii nyingine ya JF:Where we Dare to Talk Openly..nadhani tupo pamoja..lol
 
Mnanipa ushauri gani ili niwe sawa hapa JF?

Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?
 
Wewe unataka kujua jinsia yake ili iweje?
 
Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?
..............................si mchezo!
 
Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?

Uuuuuwi! Uwiano-Maalum..!!

ASK SUCH A QUESTION VIA PM BANA!

How comes unatafuta jinsia ya mtu publically hivi? Mbona hujamuuliza 'Mtindiowa Ubongo' ni wa jinsia gani?

Amekwambia anataka ushauri-nasaha? Mi nnavyoelewa she just want to be given the dos and donts inside here!

Kwa swali lako Tegemea majibu ambayo almost sio kweli kwa 80%.
 
Sasa utampa DO na DONTS kama hujui jinsia yake?

Halfu mnatokea wapi nyie, ushauri hamumpi mwenzenu, mmebaki kudandia train kwa mbele.

Usiwasikilize hawa wanok nok Idda. Jinsi ni muhimu katika kutoa ushauri, najua wajua kwamba najua wajua.
 
Uuuuuwi! Uwiano-Maalum..!!

ASK SUCH A QUESTION VIA PM BANA!

How comes unatafuta jinsia ya mtu publically hivi....... Mi nnavyoelewa she just want to be given the [

Du na wewe umemuuza mwenzio, she si ni akina dada, karibu Idda ila kuna vijimambo hapa ndio maana wengi huingia na nick names,natumai hiyo yako pia ni nick name.
 
Duh! Bongo tambarare kweli kweli. Karibu sana IDDA.
 
Back
Top Bottom