Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I have been a visitor to JF, for a long time.
I've come in at last.
May I say Hodi hapa ukumbini wana-mapinduzi.
Mnanipa ushauri gani ili niwe sawa hapa JF?
be urself and speak ur mind!
Welcome in idda keep say hello 2 me ok.....
Idda, karibu sana ndani ya JF jisikie uko nyumbani. Kuwa huru kabisa humu ndani.
Karibu mpaka ndani.
Upo sawa na utakuwa sawa zaidi ukirejea sheria za JF. Baada ya hapo karibu tumkome nyani mchana kweupe..!
Again, Karibu.
Asante Mtindio.
Huyo NYANI wa kukoma ni NYANI NGABU?
Mnanipa ushauri gani ili niwe sawa hapa JF?
Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?
..............................si mchezo!Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?
....kujua jinsia yake ili iweje?
Idda, ingekuwa vizuri kwanza kujua jinsia yako ili kukupa appropriate ushauri wa kukuweka sawa hapa JF. Baada ya kusema hayo basi, nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kuuliza swali, je wewe ni wa jinsia gani?
Uuuuuwi! Uwiano-Maalum..!!
ASK SUCH A QUESTION VIA PM BANA!
How comes unatafuta jinsia ya mtu publically hivi? Mbona hujamuuliza 'Mtindiowa Ubongo' ni wa jinsia gani?
Amekwambia anataka ushauri-nasaha? Mi nnavyoelewa she just want to be given the dos and donts inside here!
Kwa swali lako Tegemea majibu ambayo almost sio kweli kwa 80%.
Nimpe ushauri ili awe sawa hapa JF, kama mwenyewe alivyoomba.
Uuuuuwi! Uwiano-Maalum..!!
ASK SUCH A QUESTION VIA PM BANA!
How comes unatafuta jinsia ya mtu publically hivi....... Mi nnavyoelewa she just want to be given the [
Du na wewe umemuuza mwenzio, she si ni akina dada, karibu Idda ila kuna vijimambo hapa ndio maana wengi huingia na nick names,natumai hiyo yako pia ni nick name.