Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wapi wametaja lion king? Tangu lini Will Smith akawa mjuzi wa Lion King? Hata hakuwa actor wa lion king. Hawa black Americans wanadhani Africa ni nchi moja. Hii debate tulishamaliza na haturudi huko
That's National geographic channel recording a documentary using Will Smith as a main character! After Lupita now Will Smith!Wapi wametaja lion king? Tangu lini Will Smith akawa mjuzi wa Lion King? Hata hakuwa actor wa lion king. Hawa black Americans wanadhani Africa ni nchi moja. Hii debate tulishamaliza na haturudi huko
Only on Twitter ila dunia inatambua MAGICAL KENYA. 😂😂😂
Hio documentary haina uhusiano na lion king hata kidogo. Hongera kwa kupata angalau Will Smith aje aigize documentaryThat's National geographic channel recording a documentary using Will Smith as a main character! After Lupita now Will Smith!
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji23][emoji23][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli amapata Ndege yake aweze kusafiri nje ya Nchi bill wasiwasi??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzanian comedy season 2....loading.
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
Aisee mkuu umerudi ?Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
Wacha imani potofu Will Smith kaja for a specific task! National geographic wamemleta ku-shoot season 2! Anachofanya Serengeti ni zaidi ya kwenda Ikulu.Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
Ikulu? Lugha ikigongana huko nani ataichukua hiyo aibu??? Hehehehe! Anyway you have a good point.
Wanna, gonna, aint-----the American language.🤣🤣🤣
Hio documentary haina uhusiano na lion king hata kidogo. Hongera kwa kupata angalau Will Smith aje aigize documentary