Here is a proof Lion King is as Serengeti as has ever been

Magufuli amapata Ndege yake aweze kusafiri nje ya Nchi bill wasiwasi??? 😂😂😂

Tanzanian comedy season 2....loading.
 
Wapi wametaja lion king? Tangu lini Will Smith akawa mjuzi wa Lion King? Hata hakuwa actor wa lion king. Hawa black Americans wanadhani Africa ni nchi moja. Hii debate tulishamaliza na haturudi huko
 
Lion King by the way sijatazama video yako.. ila ilikuwa iko kwa features nyingi sana za mount Kilimanjaro..
Haiwez kuwa kwa Tsavo
 
Wapi wametaja lion king? Tangu lini Will Smith akawa mjuzi wa Lion King? Hata hakuwa actor wa lion king. Hawa black Americans wanadhani Africa ni nchi moja. Hii debate tulishamaliza na haturudi huko
That's National geographic channel recording a documentary using Will Smith as a main character! After Lupita now Will Smith!
 
Hio documentary haina uhusiano na lion king hata kidogo. Hongera kwa kupata angalau Will Smith aje aigize documentary
 
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
 
Ikulu? Lugha ikigongana huko nani ataichukua hiyo aibu??? Hehehehe! Anyway you have a good point.
 
Magufuli amapata Ndege yake aweze kusafiri nje ya Nchi bill wasiwasi??? [emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzanian comedy season 2....loading.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji23][emoji23][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ikulu imejaa watendaji mbaya zaidi Will smith tunamuona kama kibaraka wa mabeberu hatumuamini.
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
 
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
Aisee mkuu umerudi ?
 
Tanzania bado tuna shida sana kwenye kujitangaza
Serikali imeshindwa nini kuwaita hao kina Will Smith hadi Ikulu?
au kampuni za filam zikija TZ tunawapa incentives zipi?
Wacha imani potofu Will Smith kaja for a specific task! National geographic wamemleta ku-shoot season 2! Anachofanya Serengeti ni zaidi ya kwenda Ikulu.
 
Wanna, gonna, aint-----the American language.🤣🤣🤣

Slang kali sana hizo, mimi huzimudu kwa kutumia sub titles kwenye movie zao, sasa jamaa atiririke maneno mengi mbele ya mkulu...
 
Lion King Director Jon Favreau and crew travelled to Kenya to see the animals in the wild.
They even skipped Tanzania and went to Namibia.

Wacha hekaya za uongo. Insider had a great video on Youtube last week.

How Kenya Influenced Lion king locations..
disney.JPG

Back
Top Bottom