Heri James (CCM), inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lissu risasi, alitishia Sindano

Heri James (CCM), inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lissu risasi, alitishia Sindano

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote.

Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na sindano, pyuuuuuuuuuuuu

 
naweka kwani ni siri
Da. Kweli madaraka ni kitu cha ajabu. Mwezi wa pili mwaka huu watu kama hawa walikuwa wanaonekana kama miungu watu. Walikuwa ''wanaabudiwa'' na walamba viatu kila wanakokwenda. Kila nikifikiria watu waliopita kwenye situation kama hizi eg Ridhiwani, Makonda na huyu huwa nasema madaraka yanafanya mtu aone kama hatakufa.
 
Kheri James kuokotwa kwa watu coco beach akishirikiana na Makonda.

Dotto James Kifo cha Lwejabe

Hawa wote ni ndugu wa Dicteta Magufuli

Wamefanya uhalifu mwingi sana kwenye utawala wake

Kiufupi hawa watu wanatakiwa kuunganishwa Yaani Sabaya, Makonda, Dotto James na Kheri James.

Hawa ndio weumiza watu wengi sana nchi hii.
 
Back
Top Bottom