Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hili suala la Bandari na DP World halikosi ukoko.
Mama amesema wazi wazi kwamba atatumia hekima kukaa kimya, jambo ambalo ni heri maana mambo kutatua figisu (kama alivyosema mama Mongella) hayataki papara!
Lakini vichwa havikawii kufikiria mambo magumu. Inadaiwa ndege yetu imekamatwa huo Uarabuni.
Minong'ono ya fedha kutembea toka huko uarabuni ipo.
Kina Kitenge wa advance party wamezawadiwa fweza za kufa mtu, na kama alivyo mswahili haachi kujionesha hadharani kuwa kapata fweza ndefu.
Kwa kubwabwaja redioni tu, hiyo fweza nii ndefu sana kujinunulia brand new Prado.
Wafaidika ni wengi, wengine tetesi zinasema wengine wamenunua nyumba Dubai. Hapa ndio linapoingia suala la RUSHWA!
Vyombo vyetu viko kimya kama maji ya mtungi.
Najaribu kulidadavua suala lenyewe jinsi lilivyo, kichwa kinagoma.
Heri kukaa kimya tu.