Heri Mama ameamua kukaa kimya, makubwa lazima yatakuja!

Heri Mama ameamua kukaa kimya, makubwa lazima yatakuja!

Hana uwezo wa kusoma,kuchambua,kujibu au kuelewa jambo lolote kwenye huo mkataba
Hiyo kazi ya kuisoma hiyo Mikataba na kuichambua ni kazi ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali
 
Kabisa RRrR ya mama Samia ina makubwa sna kuliko upeo wetu.

Mimi naamini baada ya 2025 Tanzania hatutaki support ya bajeti yetu kutoka kwa yeyote. Niliandika hivi:

Haiwezi kuwa rahisi hivyo
 
Hiyo kazi ya kuisoma hiyo Mikataba na kuichambua ni kazi ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali
Halafu yeye kazi yake ni nini? Magufuli alichambuliwa na nani ambaye siku hizi hawezi?
 
nikikutana nae nitamwambia afanya haraka wawekezaji waje tumalize tuone nani mwamba
 
Hili suala la Bandari na DP World halikosi ukoko.

Mama amesema wazi wazi kwamba atatumia hekima kukaa kimya, jambo ambalo ni heri maana mambo kutatua figisu (kama alivyosema mama Mongella) hayataki papara!

Lakini vichwa havikawii kufikiria mambo magumu. Inadaiwa ndege yetu imekamatwa huo Uarabuni.

Minong'ono ya fedha kutembea toka huko uarabuni ipo.

Kina Kitenge wa advance party wamezawadiwa fweza za kufa mtu, na kama alivyo mswahili haachi kujionesha hadharani kuwa kapata fweza ndefu.

Kwa kubwabwaja redioni tu, hiyo fweza nii ndefu sana kujinunulia brand new Prado.

Wafaidika ni wengi, wengine tetesi zinasema wengine wamenunua nyumba Dubai. Hapa ndio linapoingia suala la RUSHWA!
Vyombo vyetu viko kimya kama maji ya mtungi.

Najaribu kulidadavua suala lenyewe jinsi lilivyo, kichwa kinagoma.

Heri kukaa kimya tu.
Uzi ukijaa kauli za inasemekana, inadaiwa ni umbea na uongo mtupu.

Ndege ya rais ilimpeleka makamu kule Angola ndani ya siku zile ulipoibuka uzushi kwamba imekamatwa Dubai.
 
Uzi ukijaa kauli za inasemekana, inadaiwa ni umbea na uongo mtupu.

Ndege ya rais ilimpeleka makamu kule Angola ndani ya siku zile ulipoibuka uzushi kwamba imekamatwa Dubai.
Leo katua nayo South Afrika. Hawa wajinga wanaendeleza tu uzushi na uzandiki wao. Tatizo wameona siku hizi humu wamejaa mapopoma ndo mana wanaokota tu.
 
Kabisa RRrR ya mama Samia ina makubwa sna kuliko upeo wetu.

Mimi naamini baada ya 2025 Tanzania hatutaki support ya bajeti yetu kutoka kwa yeyote. Niliandika hivi:

Kwamba Hizo RRRR zinaonyesha upeo mkubwa, hakuna upeo huo bali utapeli wa mchana kweupe.
 
Katiba inamtaka aongee ahutubie Taifa hasa panapotokea sintofahamu za namna hii.

Wala sio kusema kheri wala nini.

Actually modern management inasisitiza kusema na sio kupongezana kukaa kimya.

Mleta mada jitafakali kiwango chako cha ufahamu juu ya mambo.
 
Soma mada vizuri, uielewe na ujue maudhui yake.
Kukaa kimya vile vile inaweza kuchukuliwa kuwa avoidance of self incrimination.
Inabidi tuwatafunie msio elewa kirahisi.
 
Kukaa kimya maana yake hufai hata kidogo kuwa kwenye hiyo nafasi.Nchi inamatatizo ambayo umeyasababisha wewe halafu unakaa kimya?Nchi hii ya kisenge sana
 
Back
Top Bottom