Heri maziwa uliyonyonya na tumbo lililokuzaa Tundu Lissu.

Heri maziwa uliyonyonya na tumbo lililokuzaa Tundu Lissu.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika.

Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo.

Mungu aliyeanzisha nia hiyo ya ukombozi wa Nchi hii ndani yako, yeye mwenyewe na akaikamilishe nia hiyo na ukombozi wa kweli wa Nchi hii upatikane. Amina.
 
Back
Top Bottom