Tungekuwa na viongozi wazalendo toka awali na kuzitumia raslimamli zetu kwa uadilifu tusingekuwa watu wa kutembeza bakuli na kuambulia fedheha kama hizi. CCM ni laana kwa nchi hii kabisa, sisi siyo watu wa kulialia kama hivi lakini ndiyo mahali walipotufikisha CCM wameachia mabeberu wajichotee raslimali zetu watakavyo kwa kuingia mikataba ya kimangungo.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Kwa hiyo wewe unaona ni vizuri kwa CCM kutesa wananchi kisa wamekosolewa, uhuru wa habari uko wali?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Huyo ni wewe ambaye kwanza ni kula kulala kwa shemeji mume wa dada, kuongoza nchi sio sawa na kuongoza cha cha wavuta bangiUhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Waya wa umeme umeenda mbali sana. Ardhi ipo mambonde ya kulima miwa yapo. Kuna ardhi kwaajili ya kilimo cha mahindi na mpunga. Ipo misitu ya kutosha binafsi na ya serikali Kama ule wa mafinga.Umeongea hupuuzi sana hata kutengeneza waya wa umeme hunakushida alafu unategemea elimu zao,teknolojia na afya
Unaonaje kama nchi tuanzishe ya kuondoa vibao vyote vinavyosomeka "Kutoka kwa Watu wa Marekani" na vile vya "Funded by EU"Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Ulituahidi kwamba utakuwa tajiri mwaka huu hadi uchanganyikiwe.Umeanza kuchanganyikiwa kabla ya kuupata utajiri.Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Ukishashiba ndio unavyokuwa hivi kumbe..Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.
Nani kakudanganya mpo huru?Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Mama yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali vya wanaotuibia Kodi zetu.