Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
- Thread starter
- #21
Ooh woowMimi pia Ni Leo tunasherekea pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh woowMimi pia Ni Leo tunasherekea pamoja
Hongera sana mdada, hongera mno , ujaliwe ukamilifu wa mafanikio .Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future......
Nisaidieni kuniwish basi
HongeraNimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future......
Nisaidieni kuniwish basi
Miaka ishirini na saba duuh very oldNimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future......
Nisaidieni kuniwish basi
Kuyafurahia maisha tu......kwasababu sijuh siku wala saaUmejipangaje kuukabili ushangazi na zaidi sana usingo maza?
AhsanteHongera
Siku zinaenda sanaHongera sana mdada, hongera mno , ujaliwe ukamilifu wa mafanikio .
Siku hazi simami kwa kweli , juzi tu nilikua na miaka 27 eti isha pita miaka kumi baada ya miaka 27 ya kuzaliwa!
Yeah1997?
AaminHeri ya kuzaliwa mdada...maisha marefu kwako...
AMENHeri ya kumbukizi ya kuzaliwa mkuu, kila la heri. Furaha, amani na afya njema visipungue kwako.
AaminBirthday Blessings