Heri ya Kuzaliwa Rais Ali Hassan Mwinyi πŸ˜„

Bila maamuzi yako magumu ya kufata Ushauri wa Benki ya Dunia kuhusu kubadirisha Sera yetu ya mambo ya fedha huenda hadi sasa tungekuwa bado tunalalia Magodoro ya Sufi na Vitanda vya Telemka tukaze πŸ€”

Mungu aendelee kukupa maisha marefu πŸ₯‚
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20230508-172018_Gallery.jpg
    59.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230508-172008_Gallery.jpg
    112.6 KB · Views: 3
Hongera sana Babu yetu kwa kuishi miaka mingi hapa duniani ni sherehe kubwa sana sana uendelee kuishi zaidi na zaidi
Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98.

Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.

View attachment 2614183
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…