Heri ya siku vijana ulimwenguni

Heri ya siku vijana ulimwenguni

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI

Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi.

Heri ya siku ya vijana Duniani

SamiaAPP
KaziIendelee
IMG-20240812-WA0047.jpg
 
Nimepishana na polisi mitaani wako lindo Toka asubuhi ,kumbe ni siku ya vijana.
 
Back
Top Bottom