Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Aug 12, 2024 #1 HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi. Heri ya siku ya vijana Duniani SamiaAPP KaziIendelee
HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi. Heri ya siku ya vijana Duniani SamiaAPP KaziIendelee
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 12, 2024 #2 Vijana Oyee!! BAVICHA Oyee!!
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Aug 12, 2024 #3 Vijana mwisho miaka mingapi vile...?
Bunchari JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 558 Reaction score 661 Aug 12, 2024 #4 Nimepishana na polisi mitaani wako lindo Toka asubuhi ,kumbe ni siku ya vijana.