Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Shughuli zikiwa nyingi kupita kiasi JF inakuwa si kipaumbele. Mwandiko wa BAK ni so unique 🙂🙂 suala la kuja na ID mpya haliingii akilini na wengi wataustukia mwandiko wa BAK.

Ila kweli twin, wana reasons zao. Au ukute wametingwa tu kama BAK alivyotupoteaga kipindi kile lol
 
Shughuli zikiwa nyingi kupita kiasi JF inakuwa si kipaumbele. Mwandiko wa BAK ni so unique 🙂🙂 suala la kuja na ID mpya haliingii akilini na wengi wataustukia mwandiko wa BAK.
Na usipotee kwakweli.
 
Awww pops I missed you. Jamani najisikiaje furaha sasa, najionaje napendwa. Nawapenda mno wazazi wangu, na namshukuru mno Mungu kwa ajili yenu. Mungu na anisaidie nizidi kuwa kabinti kenu amazing siku zote, na niwe the best mom to my kids. Nawapenda sana
Missing u too my sweetie darling...Nimeona siku ya leo isinipite bure..Usije ukasema Dad hadadishi bure
 
21d42d3c2af9008429eec3ca34e4ed68.jpg
For You
 
Back
Top Bottom