Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh tushtue tu tuje tukufanyie fujo ya maanaWeeee ninayo bana, sema naisahaugi tu, kichwani zimejaa za watoto tupu!! daaah majukumu haya hadi unasahau yako khaa, ila ngoja nikiikumbuka nitawastuaga
Ntamchomoa kwanza kiujanja ili ubaki weweUkichoma ujue umemchoma na dady yako Kaboom ndani, can you do that?
Hahaha utawakuta tu walioshindikana wenzio kibaoHahahaaaaaa!! Yaani ukinichoma mimi basi automaticaly umejichoma na wewe, lazima tuungue wote, huko nikapige story na nani sasa?
Duuuh hadi wewe una besidei? Kweli Mungu mkubwa!!
Teh tushtue tu tuje tukufanyie fujo ya maana
Hahaaa yaani nijikute tu..........no way!!
Unakana undugu wetu? Juzi tu tumetoka kukusamehe kisa kile kichambo ulichotupa
Aah wewe hufanyi birthday ila tuambie tu ikifika afu uone dada zako tunavyokujaliHaaahaaa hapana sista, nitakuwa nawaalika besidei za watoto bana. Mimi na wifi yenu tulishaacha hizo mambo, tunawafanyiaga watoto tu
Ahsante sana mpendwa ila umenidogosha huo umri mwee
Mmh Mmh Mmh bora nilale tu home. Nyie watu 2 hamfai hata kwa kusukutua. Na ile budget yenu ya buku 10 akhuuu mtaniua kwa mihogo. Naenda kwa jirani kugongea spray ili nitoke na my kaka mito
Eeh ntatembea tu bila tei tei
Karibu sana mpendwa
Ahsante sana mkuuHongera yako kwa kutimiza siku yako ya kuzaliwa.
Mingi tu ila sio 18 jamaniKwani miaka halisi ni ipi?
Hahaha unapendaa niwe skeleton, unaloooSiwataki nakutaka wewe tu skeleton wangu
Si mpaka uwe na besidei